#NGUVUMOJA
WELCOME TO SIMBA SPORTS CLUB
Latest:
THIS IS SIMBA * NGUVU MOJA *
NEWS
NEWS

Nyota 22 wanaoifuata Nsingizini Hotspurs Eswatini
Kikosi cha wachezaji 22 kitaondoka kesho saa nne asubuhi kuelekea Eswatini kuifuata Nsingizini Hotspurs tayari kwa mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa
October 15, 2025

Vitomir Vutov Kocha mpya wa makipa
Vitomir Hristov Vutov (53) raia wa Bulgaria ndiye kocha mpya wa makipa baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili. Kabla ya kujiunga nasi Vutov alikuwa
October 15, 2025

VIDEO: Ahmed afunguka kuhusu hali ya majeruhi, awataja Bajaber, Camara, Hamza
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema wachezaji waliokuwa majeruhi wanaendelea vizuri huku kiungo mshambuliaji Mohamed Bajaber akiwa ameanza mazoezi pamoja na wenzake
October 15, 2025

Timu kuifuata Nsingizini Hotspurs Alhamisi
Kikosi chetu kitaondoka nchini Alhamisi asubuhi kuelekea Eswatini kwa ajili ya mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs
October 14, 2025
PLAYER OF MONTH - SEPTEMBER 2023/24

PLAYER OF THE MONTH

EMIRATE ALUMINIUM PLAYER OF THE MONTH

VOTE
FIXTURES
UPCOMING MATCHES
![]() ![]() 3 - 0NBC Premier League
N/A Simba SC vs Fountain Gate FC |
RESULTS
RESULTS
![]() ![]() 3 - 1NBC Premier League
N/A Simba SC Vs Coastal Union FC |
![]() ![]() 6 - 1NBC Premier League
N/A Simba SC Vs Polisi Tanzania FC |
RESULTS

MEET
Men's team
AISHI MANULA
SHOMARI KAPOMBE
SADIO KANOUTE
PAPE OUSMANE SAKHO
THANK YOU
MEET OUR SPONSORS




