Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Ushirika Moshi kuikabili Kilimanjaro Wanderers katika mchezo wa kwanza wa ligi ya Wanawake (WPL).
Simba Queens inaingia kwenye mchezo wa leo wakiwa ndio Mabingwa watetezi huku lengo likiwa kuhakikisha tunaanza kwa ushindi wa alama tatu ugenini.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Fatuma Issa (5), Asha Omary (12), Violeth Nicholas (26), Brice Zanga(13), Elizabeth Joseph (21), Zainah Nandede (11), Fasila Adhiambo (29), Mary Siame (8), Aisha Mnunka (10), Senaf Demise (19)
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (30), Esther Mayala (23), Neema Mtunzi (16), Elizabeth Nashon (6), Vivian Corazone (17), Shelda Boniface (14), Zawadi Hamis (36), Mabinty Camara (3).