Hafla ya upangaji wa droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekamilika jijini Cairo nchini Misri.
Katika droo hiyo tulikuwa pot B kutokana na nafasi tuliyopo kwenye rank za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF).
Baada ya kukamilika kwa droo hiyo tumepangwa Kundi C pamoja na miamba mingine mitatu.
Hili hapa Kundi C
RS Berkane (Morocco)
Simba (Tanzania)
Orlando Pirates (Afrika Kusini)
Colombe Sportive (Cameroon).